You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Brexit
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Mfalme Charles: Historia "chungu" ya utumwa ikumbukwe
Mfalme Charles asema Jumuiya ya Madola inapaswa kutambua historia chungu ya utumwa
Mali za Urusi zilizozuiwa Ulaya kutumika kuikopesha Ukraine
Baraza la Umoja wa Ulaya limeunga mkono mpango wa mataifa ya G7 wa kutoa mkopo wa mabilioni ya ya euro kwa Ukraine.
Uingereza na Ujerumani kuimarisha ushirikiano wa ulinzi
Uingereza na Ujerumani kuimarisha ushirikiano wa ulinzi
"EU haikuwa wazi kuhusu muafaka wa uhamiaji na Tunisia"
Taasisi ya maadili EU haikuwa wazi kuhusu muafaka wa uhamiaji na Tunisia
Uingereza kuipatia Ukraine mkopo wa dola bilioni 2.94
Fedha hizo ni sehemu ya mkopo uliopangwa kutolewa na nchi za G7.
Moldova yaridhia kwa wingi mdogo kujiunga na EU
Rais wa Moldova, Maia Sandu anayeunga mkono Umoja wa Ulaya amesema kambi yake imeshinda katika mapambano yasiyo ya haki.
Mfalme Charles wa Uingereza azomewa Australia
Mfalme huyo wa Uingereza na mkewe, Malkia Camilla, wameutembelea mji mkuu wa Australia, Canberra.
Moldova yagawanyika katika kura ya maoni ya kujiunga na EU
Matokeo rasmi yanaonyesha kura za Ndiyo na Hapana zinaenda sambamba wakati zimebakia kura chini ya 2% kuhesabiwa.
Moldova yapiga kura kumchagua rais, kuamua hatma kujiunga EU
Raia nchini Moldova wanapiga kura kumchagua Rais wao na kuamua hatma ya Jamhuri hiyo kuhusu kujiunga na EU.
Biden na viongozi wa Ulaya wasisitiza ukomeshaji vita Gaza
Biden amefanya ziara yake fupi nchini Ujerumani wiki chache kabla ya uchaguzi wa Marekani.
Uholanzi yatafakari kupeleka waomba hifadhi Uganda
Uholanzi inatafakari kuwapeleka Uganda watu wanaotafuta hifadhi ambao maombi yao yamekataliwa nchini humo.
Zelensky kuwasilisha "mpango wa ushindi" kwa EU na NATO
Zelensky pia atawasilisha ombi la uanachama wa NATO na ongezeko la msaada wa kijeshi katika kampeni yake dhidi ya Urusi.
Mizozo yagubika mkutano wa viongozi wa Ulaya na Ghuba
Pande zote mbili zilitoa wito wa kusitishwa kwa mapigano nchini Lebanon na kulaani mashambulizi ya vikosi vya UN.
Uingereza kuwawekea vikwazo mawaziri wawili wa Israel
Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer amesema kuwa nchi hiyo inafikiria kuwawekea vikwazo mawaziri wawili wa Israel.
EU haitowaondoa wanajeshi wake kwenye kikosi cha UNIFIL
Nchi za EU zasema hazina nia ya kujiondoa kusini mwa nchi hiyo licha ya wito wa Israel unaowataka kufanya hivyo.
EU na mataifa ya Ghuba zazungumzia migogoro na ushirikiano
Ushirikiano wa kimkakati sio tu kuhusu usalama. Unahusu pia biashara, misaada ya maendeleo na mabadiliko ya kidigitali
Mawaziri wa EU wagawika kuhusu mzozo wa Mashariki ya Kati
Wakati baadhi ya mawaziri hao wakiendelea kiunga mkono Israel, wengine wamekosoa mashambulizi dhidi ya walinda amani UN.
EU yajiandaa kuiwekea vikwazo Iran
Umoja wa Ulaya unajiandaa kuiwekea vikwazo vipya Iran kutokana na hatua yake ya kuipelekea Urusi makombora ya kuisadia k
Zelenskiy atoa mpango wa ushindi wa vita na Urusi
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky Alhamis aliwasilisha kile alichokitaja kama "mpango wa ushindi" kwa Waziri Mkuu wa Ui
EU inalenga kurekebisha mahusiano Kusini mashariki mwa Asia
Rais wa Marekani Joe Biden na Xi Jinping wa China hawatahudhuria mkutano wa ASEAN.
Uingereza yaiadhibu Urusi,kutumia silaha za kemikali Ukraine
Uingereza yaiadhibu Urusi kwa kutumia silaha za kemikali nchini Ukraine
EU kupeleka kitita cha msaada wa kiutu Lebanon
Umoja wa Ulaya utaipa Lebanon msaada zaidi wa Euro milioni 30 huku nchi hiyo ikikabiliwa na mapigano makali.
Starmer: Vigumu kurejesha uhusiano na EU kama awali
Starmer asema itakuwa vigumu kurejesha uhusiano na Ulaya kama ilivyokuwa awali.
Urusi yauteka mji muhimu wa mashariki mwa Ukraine
Kutekwa kwa mji huo wenye wakaazi 14 elfu ni mafanikio makubwa kwa Urusi katika miezi kadhaa ya vita huko mashariki.
Umoja wa Ulaya waikaribisha Uingereza kwa mashirikiano
von der Leyen amemakaribisha Starmer na kumwalika kushirikiana kwa karibu zaidi katika nyakati hizi tete.
Starmer aanza mchakato wa kupunguza makali ya Brexit
Starmer anakwenda Brussels kujaribu kurejesha upya uhusiano wa nchi yake na Umoja wa Ulaya uliotatizwa na Brexit.
Conservative wasaka uongozi mpya
Uhamiaji ndilo suala kuu kwenye mjadala wa kumsaka kiongozi mpya wa chama cha Conservative.
Je, mfuko wa dharura EU umeshindwa kuhudumia wahamiaji?
Wakaguzi wa hesabu wanasema mfuko wa euro bilioni 5 wa EU kwa ajili ya Afrika hautoshi kushughulikia uhamiaji.
EU kutoa msaada kukabiliana na athari za mafuriko Afrika
Umoja wa Ulaya nchini Chad ukisema msaada huo unanuiwa kuwasaidia watu walioathiriwa vibaya kabisa kufuatia mafuriko.
Uingereza kutanua ushirikiano wa ulinzi na Ujerumani
Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer anatarajiwa kufanya ziara wiki ijayo mjini Brussels.
Watu 30 wakamatwa kwa magendo ya binaadamu Uingereza
Zaidi ya watu 30 wametiwa nguvuni nchini Uingereza kufuatia msako dhidi ya magenge yanayosafirisha watu kwa magendo.
Mkutano wa kila mwaka wa chama cha Labour wafunguliwa
Mkutano huo ni wa kwanza katika kipindi cha miaka 15 kufanyika wakati chama hicho kikiwa madarakani.
Mwangaza wa Ulaya: Nchi za EU zaanzisha ukaguzi wa mipakani
Umoja wa Ulaya unakabiliana na ongezeko la wahamiaji. Hilo limesababisha baadhi ya nchi wanachama wa umoja huo kuanzisha upya ukaguzi wa mipakani ndani ya eneo la nchi za Jumuiya hiyo maarufu Schengen, ambalo kwa kawaida hutakiwa kuruhusu usafiri bila ukaguzi wa watu na mali zao. Ungana na Bakari Ubena.
EU yatenga bilioni 10 kwa nchi zilizoathiriwa na mafuriko
Ursula von der Leyen amesema kiasi euro bilioni 10 zitatolewa kwenye mfuko wa mshikamano wa Umoja wa Ulaya.
Von der Leyen kuizuru Poland kutathmini athari za mafuriko
Von der Leyen atalitembelea eneo moja mjini Warsaw kutathimini hali baada ya mafuriko na mvua kubwa kusababisha janga.
UK: Fedha za mpango wa Rwanda kuimarisha usalama mpakani
Serikali mpya ya chama cha Labour imefutilia mbali mpango huo tata, ikiutaja kama ufujaji wa fedha.
Uingereza yabadili matumizi ya fedha za mpango wa wahamiaji
Serikali mpya ya Labour iliyoingia madarakani mwezi Julai iliachana na mpango huo ikisema ni matumizi mabaya ya fedha.
Viongozi ulimwenguni walaani shambulio dhidi ya Trump
Wakati salamu za pole zikitolewa, Rais Joe Biden amesema idara ya usalama nchini humo inahitaji msaada zaidi.
Wahamiaji 8 wamekufa maji wakijaribu kwenda Uingereza
Wahamiaji 8 wamekufa Ufaransa baada ya boti kuzama wakijaribu kuvuka kwa boti kutoka Ufaransa kwenda Uingereza
14.09.2024 Matangazo ya mchana
Biden na Starmer wakutana Washington kuijadili Ukraine, Stoltenberg asema NATO ingeweza kufanya zaidi kuzuia vita vya Ukraine,Na China yaionya Ujerumani baada ya meli yake kupita Taiwan.
Biden na Starmer wakutana Washington kuijadili Ukraine
Urusi imeonya kuwa kuiruhusu Ukraine kutumia silaha za masafa marefu kutaitumbukiza NATO katika vita na Urusi.
Biden, Starmer waahirisha uamuzi wa makombora ya Ukraine
Starmer amesema alikuwa na mjadala mpana kuhusu mkakati na Biden lakini hakukuwa na mkutano kuhusu makombora.
Je, Mkuu wa sera za Kigeni ajae EU kuiunga mkono Israel?
Je! mwanadiplomasia wa ngazi ya juu ajaye EU, Kaja Kallas, atakuwa na mtazamo tofauti juu Israel?
Starmer asema mfumo wa afya UK unahitaji 'mageuzi au ufe'
NHS imetoka kuwa fahari ya kitaifa na kuwa ishara ya serikali na jamii iliyoelemewa na mzigo mkubwa.
Marekani na Uingereza zaipa Ukraine msaada wa $ bil. 1.5
Uingereza na Marekani zimeahidi kuipa Ukraine nyongeza ya msaada wa karibu dola bilioni 1.5 za Kimarekani.
Marekani, UK zaahidi jibu la haraka kwa maombi ya Ukraine
Marekani na Uingereza zimeahidi Jumatano, kupitia haraka maombi ya Ukraine kulegeza vizuwizi juu ya matumizi ya silaha.
US, UK kutafakari ombi la Kyiv kulegeza vikwazo vya silaha
Marekani na Uingereza zimeahidi msaada wa dola bilioni 1.5 kwa Ukraine wakati wa ziara ya mawairi wa mambo ya nje Kyiv.
Iran yaapa kuchukua hatua kujibu vikwazo vipya
Marekani na mataifa yenye nguvu ya Magharibi, yametangaza vikwazo vipya kwa Iran kwa sababu ya kuipa Urusi makombora.
Mawaziri wa kigeni wa Marekani na Uingereza ziarani Kiev
Haya yanajiri wakati Kiev ikizishinikiza nchi washirika kuiruhusu kutumia makombora ya masafa marefu kuishambulia Urusi.
Sumaiyya: Malkia wa barabara Zanzibar
Je, unaweza kubadili fani yako ulioipenda katikati mwa kilele kufuata fursa ya fedha na utofauti? Mtazame Sumaiyya alieipa kisogo taaluma ya habari na mawasiliano kwa ajili tu ya kufata fursa na utofauti.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 2 wa 46
Ukurasa unaofuatia