You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Mahamadou Issoufou
Mahamadou Issoufou anatokea kabila la Hausa na alizaliwa mwaka 1951.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Ghana: Senegal isaidie kutatua mizozo ndani ya ECOWAS
ECOWAS ina mizozo na mataifa ya Niger, Burkina Faso na Mali.
Ujumbe wa Marekani wajadili kuondoka kwa wanajeshi Niger
Takriban wanajeshi 650 wa Marekani, na wafanyakazi kadhaa wa kandarasi, wako katika taifa hilo.
IRC: Mamilioni wakabiliwa na uhaba wa chakula Sahel
Idadi ya watu wanaokabiliwa na uhaba mkubwa wa chakula katika ukanda wa Sahel imeongezeka.
IRC: Mamilioni hawana chakula mataifa matatu kanda ya Sahel
Shirika la kimataifa la International Rescue Committee limesema mamilioni hawana chakula mataifa matatu kanda ya Sahel.
Washauri wapya wa kijeshi wa Urusi wawasili Niger
Washauri wapya wa kijeshi wa Urusi wamewasili nchini Niger pamoja na zana za kijeshi.
Wanajeshi wa Urusi waingia kwenye kambi ya Marekani ya Niger
Hatua ya Niger ya kuwatimua wanajeshi wa Marekani ilikuja baada ya mkutano mjini Niamey mwezi Machi mwaka huu.
Niger yajadiliana na Marekani juu ya kuondoa wanajeshi wake
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Kurt Campbell na utawala wa Niger tayari walikubaliana kuwaondoa wanajeshi
Watu wenye silaha wawaua wanajeshi sita wa Nigeria
Hiki ni kisa cha karibuni zaidi ambapo wanajeshi wanauliwa na magenge ya uhalifu.
Mamia wapinga uwepo wa wanajeshi wa Marekani nchini Niger
Hayo yanajiri wakati ujumbe kutoka Washington ukitarajiwa kuwasili nchini humo siku chache zijazo.
Raia wa Niger washinikiza kuondoka kwa vikosi vya Marekani
Mwezi uliopita, Jeshi la Niger lilitangaza kuvunja makubaliano ya ulinzi na Marekani.
Ujumbe wa Marekani kuzungumza na utawala wa kijeshi Niger
Ujumbe wa Marekani wa maafisa wa ngazi za juu unatarajiwa kuitembelea Niger kwa mazungumzo na utawala wa kijeshi.
Niger kuipatia Mali mafuta ili kuboresha usambazaji wa umeme
Lita milioni 150 za dizeli kutolewa kwa Mali, nchi ambayo inakabiliwa na hitilafu za mara kwa mara za umeme.
Vifaa vya kisasa vya kijeshi vya Urusi vyawasili Niger
Marekani ina takriban wanajeshi 1,000 nchini Niger ingawa kwa sasa harakati zao zimekuwa ndogo
Ufaransa kujenga "ushirika sawa" na Afrika
Uhusiano kati ya Ufaransa na mataifa kadhaa ya Afrika yaliyowahi kuwa makoloni yake umedorora siku za karibuni.
Serikali ya kijeshi ya Niger yavunja mabaraza ya miji
Jenerali Tiani amevunja mabaraza yote ya miji nchini Niger na amemuweka afisa wa jeshi kusimamia mji mkuu, Niamey.
Niger yaitaka Algeria kuelezea mateso kwa wahamiaji
Utawala wa kijeshi wa Niger umemtaka balozi wa Algeria atoe maelezo kwa vitendo vya kikatili kwa wahamiaji wa Kiafrika.
Nini kitarajiwe wakati Urusi ikisaka washirika wapya Afrika?
Rais wa Urusi Vladimir Putin amefanya mazungumzo na viongozi wa kijeshi wa Mali na Niger, sambamba na rais wa Jamhuri ya Kongo na kukubaliana kuimarisha ushirikiano. Je kipi kinachomsukuma Putin kutafuta ushirika mpya na mataifa hayo ya kiafrika ambayo kwa kiasi kikubwa yamekuwa chini ya ushawishi wa Ufaransa? Ahmed Rajab mchambuzi wa siasa za kimataifa kutoka London Uingereza, alifafanua.
Kiongozi wa Niger azungumza na Putin
Jenerali Abdourahmane Tiani ameiongoza Niger tangu mapinduzi ya kijeshi ya mwezi Julai.
Watoto milioni 1.8 wamekimbia makaazi yao ukanda wa Sahel
Save the Children imejumuisha idadi ya watoto waliokimbia makaazi yao katika nchi tatu za eneo la Sahel.
Marekani: Ushirikiano na Niger ni wa manufaa kwa pande zote
Marekani imeuelezea uhusiano wake wa kijeshi na Niger ni wa manufaa kwa pande zote.
Marekani yatathmini mustakabali wa operesheni zake Sahel.
Hatua hiyo inafuatia tangazo la Niger kuwa inasitisha ushirikiano wake wa kijeshi wa miaka mingi na Washington.
Harakati za kijeshi za Marekani hatarini eneo la Sahel
Uamuzi wa Niger unafuatia ziara ya maafisa wa vyeo vya juu wa Marekani mjini Niamey.
Nigeria yaagiza kufunguliwa kwa mpaka wake na Niger
Mwezi uliopita ECOWAS iliamua kuuondoa vikwazo hivyo, ila mpaka huo ukawa bado umefungwa.
Mataifa masikini bado yanayumba baada ya UVIKO 19
Baadhi ya mataifa hayo yenye viwango vya chini zaidi kuanzia mwaka 2022 ni Burundi, Mali, Sudan Kusini and Somalia.
Ujumbe wa maafisa wa Marekani waitembelea Niger
Ziara hiyo inalenga kurudisha mahusiano baada ya viongozi wa kijeshi nchini Niger kumuondowa rais aliyekuwepo mamlakani.
Niger, Mali, Burkina Faso zaunda kikosi cha kukabili uasi
Nchi zote tatu pia zilitangaza dhamira ya kujiondoa kwenye jumuiya ya ushirikiano wa kikanda ya ECOWAS.
Kikosi cha Ulaya Ukanda wa Sahel chatakiwa kuondoka Niger
Kikosi cha Umoja wa Ulaya kimetakiwa kuondoka Niger, siku chache baada ya Umoja huo kulaani mashambulizi dhidi yake.
Utawala wa kijeshi Guinea wamteua Oury Bah kuwa Waziri Mkuu
Bah atapewa jukumu la kushughulikia mvutano na vyama 13 vya wafanyikazi vilivyoitisha mgomo wa kitaifa.
ECOWAS yaombwa kutathmini hatua zake za kushughulikia mizozo
ECOWAS iliyawekea vikwazo mataifa yaliyojitoa kwenye muungano huo na kusababisha mengine kujiondoa.
Mkutano wa AU walenga kuimarisha sauti ya Afrika kimataifa
Mkutano wa Kilele wa Umoja wa Afrika utafanyika wakati bara hilo likikabiliwa na jinamizi la mapinduzi na mizozo.
ECOWAS yatoa wito wa umoja kwa nchi za Afrika Magharibi
ECOWAS: Kujiondoa kwa Mali,Niger na Burkina Faso kutasababisha matatizo yatakayoleta madhara zaidi kwa raia wa kawaida.
ECOWAS yatoa wito wa umoja
ECOWAS imetoa wito wa umoja baada ya mazunguzo ya dharura kuhusu uamuzi wa mataifa matatu kujitoa kwenye jumuiya hiyo.
Niger, Mali, Burkina Faso zashidwa kuheshimu sheria - ECOWAS
ECOWAS imesema mataifa ya Niger, Mali na Burkina Faso yameshindwa kuheshimu sheria kwa kujiondoa katika kundi hilo.
Upinzani Senegal waapa kupinga kuahirishwa uchaguzi
Nao mawaziri wa mambo ya nje wa kigeni wa ECOWAS wanakutana kwa dharura kujadili mkwamo huo wa kisiasa mjini Abuja.
Waziri wa Ujerumani kukutana na viongozi wa ECOWAS
Ziara ya Schulze imekuja kiasi wiki moja, baada ya kujiondowa kwa Burkina Faso, Mali na Niger katika jumuiya ya ECOWAS.
Maoni: Mali, Burkina Faso na Niger kujitoa ECOWAS
Mali, Burkina Faso na Niger zinapanga kujitoa kutoka kwa jumuiya ya kiuchumi ya Afrika Magharibi ECOWAS baada ya kukosolewa kwa kufanya mapinduzi. Kipi kinachoendelea katika jumuiya hii? Mvutano huu unatoa muelekeo gani kwa siku za usoni katika ukanda huu? Jiunge na Josephat Charo katika Maoni mbele ya Meza ya Duara.
ECOWAS kudhoofika baada ya wanachama wake 3 kujiondoa?
Mali, Niger na Burkina Faso zimejiondoa kwenye Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi, ECOWAS.
Mzozo wa Sahel waendelea kufukuta
Umoja wa Ulaya unakabiliwa na mkanganyiko juu ya uwepo wa ujumbe wake uliosalia nchini Mali.
AU yasikitika Niger, Mali na Burkina Fasso, kujitoa ECOWAS
Umoja wa Afrika wasema "umefadhishwa" na kujiondoa Niger, Mali na burkina Fasso ndani ya ECOWAS
Nigeria yazikosoa Mali, Niger na Burkina Faso kujitoa ECOWAS
Nigeria imezikosoa Niger, Burkina Faso na Mali kwa kujitoa Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi, ECOWAS.
ECOWAS ni nini na kwanini mataifa matatu yamejiondoa?
Mvutano kati ya mataifa matatu yaliokuwamba na mapinduzi Afrika Magharibi na ECOWAS umeyapelekea kujitoa jumuiya hiyo.
Niger, Mali na Burkina Faso zajiondoa kutoka ECOWAS
Niger, Mali na Burkina Faso zimesema zinajiondoa kutoka kwenye Jumuia ya Uchumi ya nchi za Afrika Magharibi ECOWAS.
Niger, Mali na Burkina Faso zatangaza kujiondoa ECOWAS
Serikali za kijeshi za Burkina Faso, Mali na Niger zimetangaza kujiondoa mara moja ECOWAS.
Niger yasitisha uchimbaji madini hadi ukaguzi ufanyike
Niger imesimamisha kwa muda utoaji wa leseni mpya za uchimbaji wa madini na kuagiza ukaguzi wa sekta hiyo.
Wanajeshi 10 wa Niger wajeruhiwa, wanamgambo wauawa
Serikali ya Niger imesema wanajeshi wake 10 wamejeruhiwa kwenye mapigano katika eneo la kusini mashariki mwa nchi hiyo.
Mtoto wa rais wa zamani wa Niger aachiwa kwa dhamana
Salem Bazoum ameondoka Niamey kuelekea Lome, mji mkuu wa Togo, ambako aliwasili Jumatatu jioni.
Ufaransa yafunga ubalozi Niger kufuatia mapinduzi
Ufaransa yafunga ubalozi Niger kufuatia mapinduzi
Umoja wa Mataifa kusitisha safari za kibinadamu Niger
Hayo ni kutokana na ukosefu wa fedha huku jumla ya watu milioni 4.3 wakiwa wanahitaji msaada.
Niger yasitisha ushirikiano na shirika la IOF
Niger yasitisha ushirikiano na shirika la kimataifa la mataifa la IOF.
Ufaransa yamaliza shughuli ya kuwaondoa wanajeshi wake Niger
Muda wa mwisho wa kuondoka kwa wanajeshi hao ilikuwa jana Ijumaa
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 2 wa 10
Ukurasa unaofuatia