You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Mahamadou Issoufou
Mahamadou Issoufou anatokea kabila la Hausa na alizaliwa mwaka 1951.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Ufaransa yawaondoa wanajeshi wake wa mwisho Niger
Jeshi la Niger limetangaza kuondoka kwa kundi la mwisho la wanajeshi wa Ufaransa siku ya Ijumaa, baada ya muongo mmoja.
Kundi la mwisho la kikosi cha Ufaransa kuondoka Niger leo
Kundi la mwisho la kikosi cha Ufaransa kuondoka Niger leo
Mahakama ya ECOWAS yaamuru Bazoum wa Niger kuachiwa
Mahakama ya ECOWAS, imeamuru kuachiliwa huru mara moja kwa rais wa Niger aliyepinduliwa.
ECOWAS wautambua utawala wa kijeshi wa Niger
ECOWAS imeunda kamati ya viongozi watatu kusaka makubaliano na utawala wa kijeshi wa Niger juu ya kipindi cha mpito.
ECOWAS: Juhudi za kukomesha mapinduzi hazijazaa matunda
Viongozi wa ECOWAS kwa mara ya kwanza wametambua kuwa juhudi zao za kukomesha mapinduzi ya kijeshi hazijazaa matunda
Viongozi wa ECOWAS wakutana mjini Abuja, Nigeria
Rais wa Nigeria Bola Ahmed Tinubu ndiye mwenyekiti wa sasa wa Jumuiya hiyo.
Niger na Togo wakubaliana kuimarisha ushirikiano
Marais wa nchi mbili hizo wakubaliana kushirikiana katika usalama wa kikanda na barabara inayounganisha Lome na Niamey.
Chad na Mauritania zafungua njia ya kufutwa muungano wa G5
Chad na Mauritania zafungua njia ya kufutwa muungano wa kiusalama wa G5.
Kundi la G5 kuvunjwa rasmi
Wanachama wawili waliobaki wa Muungano wa Afrika Magharibi wa G5 wameidhinisha kuvunjwa kwa kundi hilo.
Mali, Niger kujiondowa kwenye makubaliano na Ufaransa
Viongozi wa kijeshi wa Mali na Niger wamesema watafutilia mbali makubaliano ya ushuru na Ufaransa hivi karibuni.
Mali, Niger na Burkina Faso zakusudua kuunda shirikisho
Mataifa hayo matatu yataka kuunda shirikisho kama sehemu ya lengo la muda mrefu la kuunganisha eneo la Afrika Magharibi.
Niger yatengua sheria ya kuwabana wanaokwenda Ulaya
Utawala wa Niger watengua sheria ya kuwabana wahamiaji wanaokwenda Ulaya.
Sierra Leone yatangaza amri ya kutotoka nje
Mashuhuda wamesimulia milio ya risasi na milipuko mji mkuu wa Freetown huku wananchi wakishauriwa kusalia majumbani.
Kiongozi wa kijeshi Niger ziarani Mali na Burkina Faso
Kiongozi wa kijeshi Niger Jenerali Abdourahmane Tiani amekutana jana jioni na viongozi wenzake wa Burkina Faso na Mali.
HRW na Amnesty yataka viongozi kuwaachia huru wafungwa Niger
Mashirika ya kimataifa ya haki za binadamu yamelalamikia kamatakamata ya viongozi wa kijeshi nchini Niger.
Mashirika ya haki za binadamu yakosoa kamatakamata Niger
Mamlaka za Niger zimewakamata kiholela makumi ya maafisa wa serikali waliondolewa madarakani.
EU: Yaweka vikwazo kwa utawala wa kijeshi Niger
Umoja wa Ulaya umeuwekea vikwazo utawala wa kijeshi wa Niger uliochukua madaraka katika mapinduzi ya mwezi Julai.
Bazoum pamoja na familia yake wanaendelea vizuri
Duru zilizoko karibu na raisi aliyeondolewa madarakani Mohamed Bazoum zimesema, yeye na familia yake wanaendelea vizuri.
Bazoum yupo salama - jamaa
Jamaa wa Mohamed Bazoum anasema kiongozi huyo yupo na familia yake na anaendelea vizuri.
Mawakili wa Bazoum wakanusha madai kwamba alijaribu kutoroka
Jeshi la Niger lilisema Bazoum alijaribu kutoroka pamoja na familia yake, wapishi wawili na maafisa wawili wa usalama.
Macron aelezea wasiwasi juu ya hatima ya Bazoum
Tangu alipopinduliwa na jeshi mnamo Julai 26, Bazoum amekuwa akizuiliwa katika makazi yake pamoja na mkewe na mwanawe.
Afrika Wiki Hii
Raia wa Afrika Kusini waandamana nje ya ofisi wa ubalozi wa Israel, kupiga mzozo unaonedelea kati ya Israel na wanamgambo wa Hamas, rais wa Kenya atangaza mpango wa afya bora kwa wote na huko Madagascar wagombea wa upinzani wawakosoa polisi kutumia nguvu kupitia kiasi, dhidi ya maamndamano ya kupinga kile wanachokiita mapinduzi ya taasisi nchini humo. Mtayarishaji ni Amina Abubakar Mjahid.
Bazoum akanusha kutaka kutoroka Niger
Mawakili wa rais aliyepinduliwa nchini Niger, Mohamed Bazoum, wamekanusha madai kwamba alijaribu kutoroka.
Niger yadai kuzima jaribio la Bazoum kutaka kutoroka
Viongozi wa kijeshi wa Niger wameeleza kuwa wamezima jaribio la rais aliyepinduliwa Mohamed Bazoum la kutaka kutoroka.
Chad kuwasindikiza wanajeshi wa Ufaransa kutoka Niger
Kutoka N'Djamena wanajeshi wa Ufaransa wanaweza kuondoka kwa njia ya ndege na vifaa vyao vya kisasa.
Niger yamfukuza mratibu wa Umoja wa Mataifa
Viongozi wa kijeshi wa Niger wamemuamuru mratibu wa Umoja wa Mataifa nchini humo kuondoka ndani ya masaa 72.
Mjumbe wa Umoja wa Mataifa apewa saa 72 kuondoka Niger
Watawala wa kijeshi wa Niger wanafuata nyayo za nchi jirani ya Mali na Burkina Faso.
Marekani yasitisha msaada wa dola milioni 500 kwa Niger
Marekani imesitisha msaada huo kwa Niger kufuatia mapinduzi yaliyomuondoa madarakani Mohamed Bazoum.
Wanajeshi wa Ufaransa wameanza kuondoka nchini Niger
Haya yanajiri wakati Marekani ikikatiza msaada kwa Niger
Jeshi la Ufaransa laanza operesheni za kuondoka Niger
Wanajeshi wa Ufaransa wamekuwa wakiishi kwa mashaka tangu serikali mpya ilipowataka waondoke.
Blinken azungumza na Bazoum kwa njia ya simu
Antony Blinken amezungumza kwa njia ya simu na rais wa Niger aliyeondolewa mamlakani Mohamed Bazoum.
Nigeria yapongeza pendekezo la Algeria kuwa mpatanishi Niger
Algeria inapinga uingiliaji wowote wa kijeshi dhidi ya jirani yake Niger.
Vikosi vya Ufaransa vyaanza kuondoka Niger
Ufaransa imeanza kuwaondoa wanajeshi wake kutoka Niger, miezi miwili baada ya kutokea mapinduzi ya kijeshi nchini humo.
Askari 29 wa Niger wauwawa kwenye shambulizi la itikadi kali
Hili ni shambulio la pili lililowalenga wanajeshi wa Niger kwa juma hili pekee.
Shambulizi la kigaidi laua wanajeshi 29 Niger
Shambulizi la kigaidi laua wanajeshi 29 Niger.
04.10.2023 Matangazo ya Asubuhi
Utawala wa kijeshi nchini Niger, imesema wanajeshi wake 29 wameuwawa kwa shambulizi la magaidi karibu na mpaka wa taifa hilo na Mali
Niger yakubali pendekezo la Algeria kuwa mpatanishi
Algeria mara kwa mara imeonya kuhusu hatua ya uingiliaji kijeshi Niger ambako jeshi lilimpindua rais Mohammed Bazoum.
Niger yapoteza wanajeshi 12 kwenye makabiliano na wanamgambo
Niger imesema wanajeshi saba wameuawa katika shambulio la watu wanaoshukiwa kuwa magaidi.
Wanajeshi 10 wa Niger wauawa katika shambulio la wanamgambo
Eneo la Kandadji limekuwa kitovu cha oparesheni za waasi katika ukanda wa Sahel katika muda wa miaka michache iliyopita.
Balozi wa Ufaransa aondoka Niger
Viongozi wa kijeshi wa Niger wamesema ni hatua njema kuelekea uhuru wa taifa lao.
Mataifa ya Magharibi kuondoa vikosi vyake Afrika magharibi?
Mapinduzi kwa mataifa ya Afrika Magharibi umeyafanya mataifa ya Magharibi kuondoa vikosi vyake katika kanda hiyo.
Marekani yasitisha misaada isiyo ya kiutu nchini Gabon
Gabon ni taifa la pili kufanya mapinduzi ya kijeshi baada ya Niger. Marekani imesitisha baadhi ya misaada nchini Niger.
Nchi za Magharibi zenye vikosi Afrika Magharibi na Kati
Mapinduzi ya Niger yalikuwa pigo kwa ushawishi wa Ufaransa na operesheni ya kupambana na uasi katika eneo la Sahel.
Kuna athari ya Ufaransa kuwaondoa wanajeshi wake Niger?
Uhusiano kati ya Ufaransa na Niger unazidi kuzorota na Ufaransa imesema haiutambui utawala wa kijeshi wa Niger.
Macron abadili msimamo, sasa atamuondoa balozi wake nchini Niger
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ametangaza kuwa nchi hiyo itaondoa kikosi chake cha kijeshi na kumrejesha nyumbani balozi wake nchini Niger kiasi miezi miwili baada ya majenerali kutwaa hatamu za utawala mjini Niamey. Uamuzi huo wa Macron unafuatia wiki kadhaa za mvutano. Je nini imemlazimisha kubadili msimamo wake hivi sasa? Sikiliza maoni ya mchambuzi Ahmed Rajab, akihojiwa na Rashid Chilumba.
Ufaransa kuwandoa wanajeshi wake Niger
Ufaransa kuwandoa wanajeshi wake Niger
Macron aahidi kuwaondoa wanajeshi wa Ufaransa, Niger
Uhusiano kati ya Ufaransa na mataifa ya magharibi mwa Afrika yameingia doa na yanataka iwaondoe wanajeshi wao.
Ufaransa kuwaondoa wanajeshi wake walioko Niger
Mvutano baina ya Ufaransa na koloni lake la zamani umekuwa ukiongezeka katika siku za karibuni hasa baada ya mapinduzi.
Matangazo Ya Jioni: 24.09.2023
Waziri Mkuu wa Armenia Nikol Pashinyan na Rais wa Azerbaijan Ilham Aliyev kukutana katika mkutano uliopangwa kufanyika Oktoba 5 nchini Uhispania. Mkuu wa sera za kigeni wa Umoja wa Ulaya Josep Borrell, alaani shambulio la siku ya Jumapili dhidi ya maafisa wa polisi nchini Kosovo. Mamlaka nchini Iran imesema imewakamata watu 28 wanaohusishwa na kundi la kigaidi linalojiita dola la kiislamu IS.
Mali yauonya Umoja wa Mataifa dhidi ya Uingiliaji Niger
Mali yasema ukosefu wa amani Niger kunaiathiri moja kwa moja
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 3 wa 10
Ukurasa unaofuatia