Mpox ni ugonjwa wa kuambukiza unaosababishwa na virusi vya monkeypox, MPXV, ambao dalili zake ni mapele yanayowasha sana, vidonda, homa, maumivu ya kichwa, misuli, mgongo na kukosa nguvu.