You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
GIZ - Shirika la ushirikiano wa kimataifa la Ujerumani
Shiriaka la GIZ linaisaidia serikali ya Ujerumani katika nyanja ya ushirikiano wa kimataifa.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Scholz aliomba bunge kuitisha kura ya imani
Scholz anatarajia kushindwa kwenye kura hiyo ya imani bungeni.
Ujerumani na Ukraine zafanya mkutano wa kiuchumi Berlin
Mkutano wa jukwaa la kiuchumi kati ya Ujerumani na Ukraine unafanyika mjini Berlin
Israel yaripotiwa kuishambulia Syria mara 300
Duru zina sema Israel imefanya mashambulizi zaidi ya 300 dhidi ya Syria tangu kuanguka kwa utawala wa Assad.
Merz aahidi kuisaidia Ukraine katika vita dhidi ya Urusi
Mgombea wa Ukansela wa chama cha CDU cha Ujerumani ameahidi kuisaidia Ukraine katika vita vyake dhidi ya Urusi.
Merz awasili Ukraine kwa mazungumzo
Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Ujerumani cha CDU, Friedrich Merz, amewasili nchini Ukraine kwa ajili ya maz
Viongozi wa dunia wapongeza Assad kuondolewa madarakani
Marekani yasema inafuatilia matukio ya Syria kwa maribu na kuhimiza amani na mshikamano
Ujerumani haifanyi vya kutosha kudhibiti uhamiaji haramu
Polisi ya Ujerumani ilirekodi idadi ya watu 71,000 waliongia ujerumani bila vibali halali ndani ya miezi 10 iliyopita.
Ujerumani yakanusha Israel imefanya mauaji ya halaiki Gaza
Israel imekanusha ripoti ya Amnesty International inayodai imefanya mauaji ya halaiki dhidi ya wapalestina, mjini Gaza.
Chama cha Social Democratic chazindua kampeni ya uchaguzi
Je, Kansela Olaf Scholz atafanikiwa tena kupata ushindi kama ilivyokuwa katika uchaguzi wa mwaka 2021?
Polisi ya Ujerumani yafanya msako wa wasafirishaji wahamiaji
Polisi nchini Ujerumani imefanya msako dhidi ya mtandao wa kihalifu unaotuhumiwa kusafirisha wahamiaji haramu.
Biden aahidi ushirikiano wa kudumu wa Marekani na Afrika
Rais Joe Biden aahidi ushirikiano wa kudumu baina ya Marekani na Afrika
Biden aahidi ushirikiano mzuri kati ya Marekani na Afrika
Afisa mmoja wa Marekani amesema mpango wa nchi hiyo ni kuwekeza zaidi katika mradi wa reli wa Lobito,
Robert Habeck kufungua mkutano wa kibiashara Kenya
Afrika ni muhimu kwa uchumi wa Ujerumani kutokana na kasi na mabadiliko yake ya kiuchumi.
Ujerumani kugeuza majengo kuwa sehemu ya kujikinga na mabomu
Urusi inaendelea kuishambulia Ukraine kwa makombora na droni. Watu wanakimbilia maeneo ya kujificha katika vituo vya treni na katika sehemu ya chini ya majumba yao, kutokana na hilo usalama wa Ujerumani unajadiliwa. Taifa hilo limeanza kuandaa maeneo ya raia kujificha kufuatia kuzidi makali ya mzozo wa Urusi na Ukraine. Je hali ya ulinzi ya Ujerumani ikoje?
Maonyesho ya historia ya Tanzania yazinduliwa Berlin
Maonyesho hayo yamehusisha wahifadhi kutoka Tanzania, Ujerumani na wawakilishi wa jamii ambazo vitu vyake viliibwa.
Ujerumani yaitahadharisha China dhidi ya kuisaidia Urusi
Annalena Baerbock amemtahadharisha mwenzake wa China Wang Yi dhidi ya kuisaidia Urusi kivita katika mzozo wa Ukraine
Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz azuru Ukraine
Ujerumani imekuwa taifa kinara wa Ulaya kuisaidia kijeshi na kiuchumi Ukraine tangu ilipovamiwa na Urusi Februari 2022.
Rais Biden aanza ziara ya siku mbili nchini Angola
Ziara ya Biden inalenga kukabili ushawishi wa China na kutimiza ahadi aliyotoa 2022 ya kuimarisha mahusiano na Afrika.
Ujerumani yatoa tahadhari kwa mvutano wa NATO na Urusi
Waziri wa mambo ya ndani Ujerumani atahadharisha juu ya kuongezeka mvutano kati ya NATO na Urusi
Ujerumani: Mzozo kuhusu hati ya kukamatwa kwa Netanyahu
Mvutano umeibuka kati ya wanasheria na wanasiasa wa Ujerumani kuhusu hatma ya Netanyahu.
Afrika katika magazeti ya Ujerumani
Yafahamu masuala ya Afrika yaliyopewa uzito na magazeti ya Ujerumani.
Juhudi za kupambana na majanga ya moto Baringo, Kenya
Kaunti ya Baringo nchini Kenya imepata nafasi ya wazima moto wake kupigwa msasa wa mafunzo na wakufunzi wa Kijerumani.
Ujerumani: Hali ya Sudan inapaswa kupewa uzito
Waziri wa uchumi na maendeleo wa Ujerumani Svenja Schulze ameitaka dunia kuipa uzito hali mbaya ya kiutu Sudan.
Waziri wa Maendeleo wa Ujerumani alizwa na hali ya Sudan
Waziri wa Maendeleo ya Uchumi wa Ujerumani, amezungumzia janga kubwa la kibinadamu nchini Sudan kufuatia ziara yake.
Je Ulaya ina nafasi gani katika soko la Cobalt ya Congo?
China bado inapokea sehemu kubwa ya mauzo ya Cobalt nje ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
Merkel asema hana majuto kuhusu utawala wake
Merkel amekosolewa kwa kushindwa kuwazuia wakimbizi katika mpaka wa Austria na kuchochea kuimarika kwa chama ha AfD.
Scholz aidhinishwa na chama chake kugombea tena Ukansela
Chama tawala cha Ujerumani cha Social Democrats (SPD) kimemteua Kansela Olaf Scholz kuwa mgombea.
Urusi yashambulia miundombinu ya nishati Ukraine
Wanajeshi wa Urusi wameshambulia usiku wa kuamkia leo miundombinu ya nishati kusini mwa Ukraine katika mkoa wa Mykolaiv.
Mawaziri wa ulinzi mataifa matano kujadili usalama wa Ulaya
Mawaziri wa ulinzi wa Ujerumani, Ufaransa, Poland, Italia na Uingereza wanakutana kujadili usalama na ulinzi Ulaya.
Iran kufanya mazungumzo ya Nyuklia na mataifa ya Ulaya
Mazungumzo hayo yanatarajiwa kufanyika Novemba 29 na yatahusu mzozo wa mpango wa nyuklia wa Iran, kufuatia azimio.
Mkuu wa Bunge la EU aonya kuongezeka msimamo mkali Ujerumani
Mkuu wa Bunge la EU aonya kuongezeka ufuwasi wa msimamo mkali Ujerumani
Rais wa China Xi Jinping afanya ziara nchini Morocco
China imekuwa ikiwekeza zaidi katika miundombinu ya Morocco hasa reli katika miaka ya hivi karibuni.
Bodi ya IAEA yailaani Iran kwa kushindwa kutoa ushirikiano
Bodi ya Shirika la (IAEA) imeilaani Iran kwa kushindwa kulipa ushirikiano shirika hilo la kudhibiti nishati ya nyuklia.
Kansela wa Ujerumani Scholz kuteuliwa kugombea uchaguzi
Haya yanajiri baada ya mpinzani wake mkuu ndani ya chama, Waziri wa Ulinzi Boris Pistorius, kukataa kugombea.
UN: Nchi zinahitaji utayari kufanikisha makubaliano COP29
Guterres ametaka mataifa yawe na utayari ili kupata makubaliano ya ufadhili katika kupambana na mabadiliko ya tabianchi.
Iran: Mataifa ya magharibi yatadhoofisha ushirikiano na IAEA
Mataifa ya Magharibi yanataka ripoti ya kina kutoka kwa mkuu wa IAEA Raphael Grossi ifikapo msimu wa machipuko 2025.
Ukatili dhidi ya wanawake uliongezeka Ujerumani 2023
Wizara ya Mambo ya Ndani imesema hali hiyo imefikia kiwango kisichostahamilika na imeahidi kupendekeza sheria kali.
20.11.2024 Matangazo ya Jioni
Sikiliza Dunia Yetu Leo Jioni 20.11.2024 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW, Bonn.
Scholz akabiliwa na shinikizo la kumtaka kutogombea tena
Uchaguzi wa mapema nchini Ujerumani unatarajiwa kufanyika mnamo Februari 26.
Ujerumani: Hujuma imefanyaka katika mawasiliano ya baharini
Ujerumani imesema hujuma imefanyika kuharibu nyaya za mawasiliano za chini ya bahari
Viongozi wa G20 kujadili maendeleo na nishati safi
Mkutano wa kilele wa kundi la nchi tajiri na zile zinazoinukia kiuchumi la G20 unaingia siku ya pili huko Brazil.
Kim Jong Un akutana na Waziri wa maliasili wa Urusi
Korea Kusini imezitaka Urusi na Korea Kaskazini kukomesha ushirikiano wao wa kijeshi.
Ujerumani yaahidi kufadhili viwanda kwenye nchi masikini
Viwanda ni moja ya vyanzo vikubwa vya uzalishaji na usambazaji wa hewa ukaa ulimwenguni.
Nagelsmann afurahishwa na kiwango cha Ujerumani
Kocha wa Ujerumani Julian Nagelsmann amesema timu yake imepiga hatua nzuri, lakini bado safari inaendelea.
Zimamoto wa Baringo waelimishwa na kupewa misaada na Ulaya
Zaidi ya maafisa 28 wamepokea mafunzo kutoka kwa kundi la kutoa misaada na elimu kwa zima moto kutoka Ulaya.
Chama cha Kijani champitisha Habeck kuwania ukansela
Chama cha walinzi wa mazingira nchini Ujerumani kimemchagua Waziri wa Uchumi, Robert Habeck, kugombea wa ukansela.
Nchi za G7 zasisitiza kuendelea kuiunga mkono Ukraine
Nchi za G7 zasisitiza kuendelea kuiunga mkono Ukraine na kiuiwajibisha Urusi kwa uvamizi wake
Robert Habeck kuchaguliwa kukiongoza chama cha Kijani
Robert Habeck kuchaguliwa kukiongoza chama cha Kijani
Chama cha Kijani cha Ujerumani kimechagua mwenyekiti mwenza
Chama cha Kijani cha Ujerumani walimchagua Felix Banaszak na Franziska Brantner kuwa wenyekiti wenza wapya.
Zelensky akosoa mazungumzo ya Scholz na Putin
Scholz alizungumza na Putin kwa saa moja, hayo yakiwa ni mazungumzo ya kwanza kati ya viongozi hao tangu 2022.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 3 wa 143
Ukurasa unaofuatia