You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
GIZ - Shirika la ushirikiano wa kimataifa la Ujerumani
Shiriaka la GIZ linaisaidia serikali ya Ujerumani katika nyanja ya ushirikiano wa kimataifa.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Viongozi wa Jumuiya ya SADC kujadili machafuko ya Msumbiji
Viongozi wa Jumuiya ya SADC wanatarajiwa kukutana katika mji mkuu wa Zimbabwe Harare, kuujadili mzozo wa Msumbiji.
Scholz kukutana na Xi pembezoni mwa mkutano wa G20
Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz anatarajiwa wiki ijayo kufanya mazungumzo ya ana kwa ana na rais wa China, Xi Jinping.
Wanaharakati: Mabadiliko ya tabianchi ni lazima
Wanaharakati wa mabadiliko ya tabianchi wanasema Ujerumani lazima iongoze katika harakati za mabadiliko ya tabia nchi.
Afrika katika magazeti ya Ujerumani
Yafahamu masuala ya Afrika yaliyoangaziwa na magazeti ya Ujerumani.
Urusi yaishambulia Ukraine, mtu mmoja auawa, 10 wajeruhiwa
Urusi na Ukraine zimeendelea kushambuliana na kusababisha uharibifu mkubwa na hasa kwenye miundombinu.
Ujerumani: Haijashirikiana na Israel huko Lebanon
Hezbolllah: Wanajeshi wa Ujerumani wanoshirikiana na Israel wako nchini humo kama walinda usalama wa Umoja wa Mataifa.
Ujerumani: Kura ya imani kuitishwa Desemba 16
Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz amethibitisha kwamba kura ya imani itaitishwa tarehe 16 mwezi Desemba.
Uzalishaji wa mafuta ya visukuku waongezeka mwaka 2024
Uzalishaji wa kaboni kutokana na matumizi ya nishati ya kisukuku unakadiriwa kuongezeka kwa asilimia 0.8 mwaka 2024.
Israel: Tunayo fursa kuishambulia miradi ya nyuklia ya Iran
Kauli hiyo imetolewa na Israel Katz ambaye ameteuliwa hivi karibuni kushikilia wadhifa wa Waziri wa ulinzi wa Israel.
Uchaguzi wa mapema Ujerumani kufanyika Februari 23 mwakani
Makubaliano kuhusu tarehe ya uchaguzi yamefikiwa kati ya viongozi wa bunge kutoka chama cha SPD na CDU.
Guterres: Tuendelee kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi
Guterres awataka viongozi katika mkutano wa COP29 kuchanga pesa za kuzuia majanga ya yanayosababishwa na hali ya hewa.
Korea Kaskazini yaidhinisha mkataba wa ulinzi na Urusi
Mataifa hayo yanalenga kusaidiana kijeshi ikiwa mmoja wao atashamuliwa na kushirikiana kupinga vikwazo vya Magharibi.
Steinmeier aahirisha safari kushughulikia mzozo wa nyumbani
Serikali ya muungano ya Ujerumani ilivunjika wiki iliyopita na kuibua kitisho cha uchaguzi wa mapema nchini Ujerumani
Walioachana na wizi wa mifugo huko Afrika Mashariki
Wizi wa mifugo ni uhalifu wa kijadi miongoni mwa jamii za wafugaji wa kuahamahama hasa kwenye eneo la Afrika Mashariki.
Siasa za Ujerumani: Uchaguzi wa mapema wanukia
Scholz amekanusha madai kwamba yeye ndiye alisababisha kuvunjika kwa muungano wa vyama vitatu makusudi
Trump na Scholz wakubaliana kuendeleza ushirikiano
Kurejea upya kwa Donald Trump kama rais wa Marekani kumebadilisha mkondo na mitizamo ya viongozi wengi ulimwenguni.
Die Linke chatangaza wagombe uchaguzi wa mapema Ujerumani
Chama cha Die Linke kimewachagua kwa kauli moja wagombea katika uchaguzi wa mapema wa mwakani nchini Ujerumani.
Vladmir Putin aahidi kuendelea kuisaidia Afrika
Rais wa Urusi Vladmir Putin ameahidi kuwa ataendelea kuzisaidia sekta mbalimbali katika bara la Afrika.
Merz: Ningekuwa Kansela ningefanya makubaliano na Trump
Kiongozi wa chama cha CDU cha Ujerumani amesema angekuwa Kansela angejikita katika kutafuta makubaliano na Donald Trump.
Meya wa Berlin asema Novemba 9 ni muhimu kwa hali zote
Wegner amesema Novemba 9 ni siku muhimu kwa Ujerumani kwenye pande zote mbili, mashariki na magharibi, hasi na chanya.
Ujerumani yaadhimisha miaka 35 kuangushwa Ukuta wa Berlin
Ujerumani inaadhimisha leo miaka 35 tangu kuanguka kwa Ukuta wa Berlin.
Scholz atoa rai ya utulivu kumaliza mzozo wa kisiasa
Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz ametoa mwito wa kuwepo mjadala wenye tija kumaliza mzozo wa kisiasa.
Vurugu za Msumbiji katika magazeti ya Ujerumani
Vurugu nchini Msumbiji baada ya upinzani kuendelea kuandamana kuyapinga matokeo ya uchaguzi mkuu, ziara ya rais wa Somalia mjini Berlin alikoahidi kuwarudisha nyumbani wasomali waliokataliwa Ujerumani na Malalamiko yanayotolewa na wapinzani dhidi ya rais Samia Suluhu Hassan ndizo mada zilizogusiwa na wahariri wa Ujerumani kuhusu Afrika.Jiunge na Saumu Mwasimba.
"Kusaidia hakuhitaji uwe tajiri au kupato kikubwa"
Je ni kwa umbali gani unaweza kuwasaidia watu wasiokuwa na uwezo kiuchumi katika jamii yako ikiwa mwenyewe huna ajira? Cecilia kijana wa miaka 27 asiyekuwa na ajira anahangaika kuisadia jamii yake ya Turkana akitembea nyumba hadi nyumba kutowa msaada wa kile kidogo anachopata.Ndani ya karibuni utamsikia akisimulia kipi kilichomsukuma kuanza jitihada hizo.
Upinzani Ujerumani wataka kura ya imani na serikali
Viongozi wa kigeni wameonyesha utulivu, wakisema misukosuko ya kisiasa Berlin inadhihirisha demokrasia inafanya kazi.
Kwanini serikali ya muungano Ujerumani imevunjika?
Kufuatia kusambaratika kwa serikali ya muungano ya Ujerumani, upinzani umeitisha kura ya haraka ya kutokuwa na imani.
Serikali ya Ujerumani yasambaratika
Hatua hiyo ya Scholz iliufikisha ukingoni muungano tawala wa vyama vitatu na kufungua njia ya kufanyika uchaguzi mpya.
Upinzani nchini Ujerumani washinikiza uchaguzi wa mapema
Haya yamejiri kufuatia miezi kadhaa ya malumbano ya ndani kwa ndani kati ya vyama vinavyounda serikali ya muungano.
Ujerumani na Somalia kuwafukuza wahamiaji haramu
Ujerumani, Somalia zakubaliana kuharakisha kufukuzwa kwa wahamiaji wasiokuwa na haki ya kisheria
Nchi za G7 zalaani ushirikiano wa Korea Kazkazini na Urusi
Kuna uwezekano wa kutumika kwa wanajeshi wa Pyongyang katika uwanja wa vita nchini Ukraine.
Viongozi wa muungano tawala Ujerumani kufanya majadiliano
Viongozi wa muungano tawala Ujerumani kukutana wakati mzozo ukitokota
06.11.2024: Taarifa ya habari za asubuhi
Sikiliza taarifa ya habari za asubuhi ya DW Kiswahili
Vyama vya serikali ya muungano Ujerumani kutatua mgogoro
Vyama vitatu katika serikali ya muungano ya Ujerumani vinaendelea na msururu wa mazungumzo.
Ujerumani yawakamata waliotaka kuipindua serikali
Polisi ya Ujerumani yawakamata watu waliokuwa wajiandaa kuipindua serikali
Rwanda kuacha kutoa usajili wa pikipiki za petroli
Rwanda kuacha kutoa usajili wa pikipiki za abiria zinazotumia petroli
Ujerumani inaweza kukabiliwa na uchaguzi wa mapema
Madai yanazidi kuongezeka kwamba serikali ya Ujerumani inayoongozwa na Kansela Olaf Scholz inakaribia kuporomoka.
Mashambulizi ya Israel yawauwa watu 10 Gaza
Mashambulizi ya makombora ya Israel yamesababisha vifo vya watu 10 Jumatatu huko Gaza, huku wizara ya afya inayoendeshwa
Baerbock awasili Kiev kusisitiza mshikamano
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani Annalena Baerbock amezuru Ukraine Jumatatu kusisitiza "uungwaji mkono thabiti".
Ujerumani inaweza kukabiliwa na uchaguzi wa mapema
Madai yanazidi kuongezeka kwamba serikali ya Ujerumani inayoongozwa na Kansela Olaf Scholz inakaribia kuporomoka.
Tanzania: Kupekua simu ya mwenzi wako faini hadi ml.20
Mkuu wa Polisi wilaya ya Ludewa, Tanzania, Celestine Luhende amesema kupekuwa simu ya mwenzi wako ni kosa kisheria.
Baerbock ataka kuipiga jeki Ukraine akiwa ziarani Kyiv
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani, Annalena Baerbock, amesisitiza umuhimu wa kuendelea kuisaidia Ukraine.
Chama cha BSW chapinga Ujerumani kuipa Ukraine silaha
Chama cha BSW chashinikiza msimamo wake dhidi ya silaha kwa Ukraine
Japan na Umoja wa Ulaya kushirikiana kiusalama na ulinzi
Hayo yanijiri wakati mivutano ikiongezeka kati yao na China, Korea Kaskazini na Urusi.
Hali ya uhusiano kati ya Ujerumani na Marekani
Uhusiano wa Marekani na Ujerumani mwaka 2024 ukoje?
Ujerumani yaagiza kufungwa kwa balozi tatu ndogo za Iran
Jamshid Sharmahd, aliyekuwa akiishi Marekani na ambaye alitekwa nyara na maafisa usalama wa Iran huko Dubai, alinyongwa.
Afrika katika magazeti ya Ujerumani
Yafahamu masuala ya Afrika yaliyoangaziwa na magazeti ya Ujerumani.
Polisi ya Ujerumani yasema idadi ya wanaovuka mpaka yapungua
Udhibiti wa mipaka kwa ujumla unaenda kinyume na masharti yaliyoainishwa na makubaliano ya Eneo la Schengen.
Hakuna Imani!: Muungano tawala Ujerumani hatarini kuvunjika
Muungano wa serikali wa Ujerumani unakabiliwa na mvutano na ukosefu wa kuaminiana miongoni mwa wanachama wake.
Samia aunga mkono ajenda ya matumizi ya nishati safi
Rais Samia ametoa wito huo ili kuwaondoa wanawake katika mzigo wa maradhi yatokanayo na matumizi ya kuni na mkaa.
Ujerumani na EU zalaani kunyongwa kwa Jamshid Sharmahd
Iran imesema kuwa na Pasipoti ya Ujerumani hakumfanyi mtu yeyote kuepuka adhabu, na hasa mhalifu na "gaidi".
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 4 wa 143
Ukurasa unaofuatia