You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Abu Bakar al-Baghdadi
Abu Bakar al-Baghdadi ni kiongozi wa kundi la kigaidi linalojiita “Dola la Kiislamu” (IS).
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Mjumbe wa UN Syria ataka vikwazo viondolewe baada ya Assad
Mjumbe Maalum wa UN kwa ajili ya Syria Geir Pedersen ametoa wito kwa taifa hilo kuondolewa vikwazo mara moja.
Marekani yakiri kuwasiliana moja kwa moja na Syria
Kundi hilo la waasi la HTS lilichukua madaraka baada ya kumuangusha Rais Bashar al-Assad siku chache zilizopita.
Mjumbe wa UN aonya dhidi ya kuanguka taasisi za Syria
Mjumbe wa Umoja wa Mataifa aonya dhidi ya kuanguka taasisi za Syria
Jordan kuwa mwenyeji wa mazungumzo ya mageuzi ya Syria
Jordan kuwa mwenyeji wa mazungumzo ya mageuzi ya Syria
Blinken afanya ziara nchini Iraq kuhusu hali ya Syria
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken amekutana na waziri mkuu wa Iraq Mohammed Shia al-Sudani.
G7 kuijadili Syria, serikali yaahidi utawala wa sheria
Assad aliikimbia Syria baada ya mashambulizi makali yaliyoongozwa na kundi la Kiislamu la Hayat Tahrir al-Sham (HTS).
China, Misri zaelezea wasiwasi mkubwa kuhusu hali ya Syria
China na Misri zimedhihirisha wasiwasi wao mkubwa kuhusu hali inayoendelea nchini Syria.
Blinken amwambia Erdogan "raia wa Syria wanahitaji kulindwa"
Blinken amemwambia Erdogan kwamba raia wa Syria wapaswa kulindwa baada ya waasi kuipindua serikali ya Bashar al-Assad.
Blinken asema raia wa Syria wanahitaji kulindwa
Mataifa mbali mbali yatangaza kufungua tena balozi zao mjini Damascus.
Katiba, Bunge vyasimamishwa kwa muda Syria
Msemaji wa serikali mpya ya Syria amesema bunge na katiba ya nchi hiyo vitasitishwa kwa miezi mitatu ya mpito
Kundi la G7 lasema liko tayari kuisaidia Syria
Viongozi wa kundi la G7, wamesema wako tayari kusaidia mchakato wa kipindi cha mpito nchini Syria.
Watu 28 wauwawa Gaza katika mashambulizi ya Israel
Watu wasiopungua 28 wameuwawa baada ya Israel kufanya mashambulizi ya anga katika Ukanda wa Gaza.
Marufuku ya kutotoka nje yaondolewa mjini Damascus, Syria
Qatar imesema itafungua tena ubalozi wake nchini Syria baada ya zaidi ya miaka 13.
Mohammad al-Bashir aahidi kutenda haki kwa raia wote
Waziri Mkuu mpya wa Syria Mohammad al-Bashir amesema utawala wake utatenda haki kwa raia wote wa Syria.
Waziri mkuu wa Syria akiri, nchi yake haina fedha za kigeni
Waziri mkuu mpya wa Syria awatolea mwito raia Wasyria walioko nje warejee nyumbani
Kamanda wa Kikurdi atangaza usitishaji vita Syria
Kamanda wa kikosi cha wapiganaji wa Kikurdi Syria atangaza makubaliano ya usitishaji vita Kaskazini mashariki mwa Syria
Iran yazishutumu Israel, Marekani kwa anguko la Assad
Israel inasema imefanya mashambulizi kadhaa dhidi ya vituo vya jeshi la anga la Syria, ikidai kuweka eneo la ulinzi.
Israel yashambulia maeneo 350 ya kijeshi nchini Syria
Netanyahu atetea hatua hiyo aliyoitaja kuwa "muhimu" kwa usalama wa Israel.
Israel yakanusha vikosi vyake kuingia Syria
Israel imekanusha leo kuwa wanajeshi wake wameingia katika ardhi ya Syria.
Mohammed al-Bashir kiongozi wa mpito Syria
Mohammed Bashir, mtu ambaye hajulikani katika sehemu kubwa ya Syria amesema ataongoza mamlaka ya muda hadi Machi Mosi.
Vikosi vya Israel vyakaribia mji mkuu wa Syria, Damascus
Uvamizi wa jeshi la Israel nchini Syria umefika karibu kilomita 25 kusini magharibi mwa mji mkuu Damascus.
Israel yaripotiwa kuishambulia Syria mara 300
Duru zina sema Israel imefanya mashambulizi zaidi ya 300 dhidi ya Syria tangu kuanguka kwa utawala wa Assad.
Israel yafanya mashambulizi makubwa nchini Syria
Hayo yanajiri wakati mchakato wa kukabidhiana madaraka ukianza huko Syria.
Majadiliano ya kukabidhiana madaraka yaanza Syria
Jumuiya ya kimataifa yatoa wito wa kufanyika makabidhiano ya madaraka kwa njia ya amani na utulivu.
Mawaziri kadhaa bado wapo kazini Syria
Waziri Mkuu wa Syria amesema mawaziri kadhaa bado wanafanya kazi mjini Damascus hata baada ya waasi kuuteka mji mkuu na
Raia wa Syria washerehekea kuanguka utawala wa Assad
Raia wa Syria wamemiminika katika uwanja mkuu kwenye jiji la Damascus hii leo Jumatatu kuashiria mapambazuko yaliyokuwa
Netanyahu: Hatua za Israel zimesaidia anguko la Assad Syria
Watafiti wa masuala ya usalama wamesema kauli ya Netanyahu ina ukweli kwa kiasi fulani.
Bashar al-Assad na familia yake wapewa hifadhi Urusi
Assad ameikimbia nchi baada ya waasi kuchukua udhibiti wa mji mkuu Damascus.
Urusi yasema Assad ameondoka nchini Syria
Urusi pia imesema kambi zake za kijeshi Syria ziko katika tahadhari kubwa lakini hakuna kitisho dhidi yao kwa sasa.
Viongozi wa dunia wapongeza Assad kuondolewa madarakani
Marekani yasema inafuatilia matukio ya Syria kwa maribu na kuhimiza amani na mshikamano
Serikali ya Bashar Al Assad yadaiwa kuondolewa madarakani
Hii ni mara ya kwanza wapiganaji wa upinzani kuingia Damascus tangu mwaka 2018
UAE yaitolea mwito Syria kujizuwia na vurugu
Rais Assad hadi sasa hajulikani aliko na Gargash alikataa kuthibitisha au kukanusha iwapo rais huyo ataomba hifadhi UAE.
Waasi wa Syria waingia Damascus, wasema Assad amekimbia
Waasi nchini Syria wamedai kuwa rais wa Syria Bashar al-Assad amekimbia nchi.
07.12.2024: Matangazo ya jioni
Rais wa Korea Kusini Yoon Suk Yeol anusurika kungo'lewa madarakani nchini humo ++ Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron kuongoza sherehe za kufunguliwa tena Notre Dame mjini Paris++ Waghana milioni 18 wanapiga kura kwenye uchaguzi mkuu nchini humo
Chanzo: Hezbolah imetuma wapiganaji 2000 nchini Syria
Shirika linalofuatilia vita nchini Syria limeripoti kuwa serikali ya nchi hiyo imepoteza udhibiti wa mji wa Daraa.
Waasi Syria waitwaa Daraa
Serikali ya Syria imepoteza udhibiti wa jimbo na mji muhimu wa kusini, Daraa.
Maelfu ya watu wakimbilia mji wa Homs katikati mwa Syria
Makundi hayo ya waasi tayari yameiteka miji muhimu ya Aleppo upande wa kaskazini na Hama katikati mwa Syria.
Waasi wa Syria waendelea kusonga mbele
Mkuu wa kundi hilo amesema lengo lao ni kuuteka mji mkuu Damascus na kuuangusha utawala wa rais Bashir al-Assad.
Uturuki yakiri kukutana na Urusi na Iran kuijadili Syria
Vyombo vya habari vya Iran vimeripoti kuwa mkutano huo utafanyika kati ya Uturuki, washirika wa Damascus, Iran na Urusi.
Israel yashambulia "njia za kusafirisha silaha" za Hezbollah
Shambulio hilo limefanyika wakati Israel na Hezbollah zikilaumiana kukiuka masharti ya makubaliano ya kusitisha mapigano
Hamas: Mazungumzo ya kusitisha vita Gaza yaanza tena
Taarifa hiyo imetolewa wakati Israel ikiendeleza mashambulizi yake huko Gaza wanakoishi mamilioni ya Wapalestina.
Waasi wa Syria waingia mji wa Hama
Waasi wa Syria wameingia kwenye mji wa Hama na kuwalazimisha wanajeshi wa serikali kuondoka na kujipanga nje ya mji huo.
Nani anadhibiti eneo gani nchini Syria?
Vikosi vya serikali viliondoka katika maeneo yenye Wakurdi wengi kaskazini na mashariki mwa Syria.
Urusi yaunga mkono hatua za Syria dhidi ya waasi
Urusi yasema inaunga mkono hatua zinazochukuliwa na Syria dhidi ya waasi
Syria yajipanga kulipiza mashambilio ya waasi mkoani Hama
Volker Türk ameelezea wasiwasi wake kuhusu kuongezeka kwa vita Kaskazini magharibi mwa Syria.
UN yatoa wito wa kupunguza uhasama na kuwalinda raia Syria
Jeshi la Syria na washirika wake wameendelea kupambana na waasi waliovamia na kuchukua udhibiti wa mji wa Aleppo.
Vita vyashika kasi Syria, Iran yataka diplomasia kutumika
Waasi wameudhibiti mji mkubwa wa Aleppo huko Syria na kuibua wasiwasi wa kisiasa na kiusalama katika nchi jirani, Iraq.
Uturuki: Kiini cha vurugu za Syria si "uingiliaji wa kigeni"
Uturuki yasema itakuwa kosa kujaribu kueleza kuwa matukio ya Syria yametokana na uingiliaji wa mataifa ya kigeni.
Vikosi vya Syria vyaendelea kukabiliana na waasi Aleppo
Jeshi la Syria na vikosi vya Urusi wameshambulia maeneo yanayodhibitiwa na waasi mashariki mwa mji wa Aleppo
Wanamgambo wa Iraq watua Syria kutoa msaada wa kijeshi
Kamanda mkuu wa jeshi la Syria la SDF amesema bado hali kaskazini magharibi mwa Syria imeendelea kuwa mbaya zaidi.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 2 wa 74
Ukurasa unaofuatia