You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Sarafu ya Euro
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Euro milioni 400 kusaidia wahanga wa mafuriko Ujerumani
Baraza la Mawaziri nchini Ujerumani limeidhinisha kitita cha mamilioni ya Euro kuwasaidia wahanga wa maafa ya mafuriko
England kuchunguza kauli za kibaguzi dhidi ya wachezaji
Timu za Ujerumani zaendelea kujinoa kwa msimu mpya wa Bundesliga, baadhi ya wachezaji wanauguza majeraha.
Johnson alaani ubaguzi wa rangi dhidi ya wachezaji
Boris Johnson asema timu ya England yapaswa kusifiwa kama mashujaa na si kuelekezewa ubaguzi wa rangi.
Italia yapeleka Rome Kombe la Euro 2020
Italia wamewavunja mioyo England kwa kuwafunga 3-2 kupitia penati na kubeba Kombe la Euro 2020 baada ya sare ya 1 - 1
Euro 2020: Italia yauwa ndoto za England Wembley
Italia imebeba ubingwa wa Euro 2020 kwa kuifunga England 3-2 kupitia mikwaju ya penati baada ya sare ya 1-1
England iko tayari kuweka historia
Timu ya taifa ya England inatarajia kusajili historia usiku wa Jumapili katika fainali ya michuano ya EURO 2020.
Fainali EURO 2020: Vita vitakuwa kati ya manahodha
Hatimaye pazia la michuano ya Kombe la Ulaya - Euro 2020 linateremshwa kesho Jumapili kwa kuchezwa fainali kati ya Itali
07.07.2021 Matangazo ya Jioni
Rais wa Haiti auwawa baada ya kushambuliwa kwenye makaazi yake ya kibinafsi/ Mapambano na Taliban yashika kasi huko Afghanistan/ Waziri wa Kenya anayehusika na Jumuia ya Afrika Mashariki, yuko ziarani Burundi/ Bachelet ametahadharisha juu ya hali mbaya inayoendelea nchini Myanamar/ England inashuka dimbani leo dhidi ya Denmark katika nusu fainali ya pili ya mashindano ya Kombe la Ulaya - Euro 2020
Italia na Uhispania kuvaana kwenye nusu fainali Euro 2020
Nusu fainali ya kwanza inazikutanisha timu za Italia na Uhispania, katika uwanja wa Wembley, Uingereza. Je kipi kitegemewe katika mchezo huu? Suidi Mnette amezungumza na Jacob Safari wa dawati la michezo la DW
Mashabiki uwanjani Wembley na virusi vya corona
Mashabiki uwanjani Wembley na virusi vya corona
Mahojiano kuhusu nusu fainali za EURO 2020
Ni timu ipi kati ya Italia, Uhispania, England na Denmark itakayotinga fainali ya mashindano ya EURO 2020? Jiunge na Josephat Charo na Bruce Amani wakizungumzia michuano ya nusu fainali Wembley.
Italia na Uhispania, England na Denmark kuvaana nusu fainali
Borussia Dortmund waanza kujinoa kwa msimu mpya wa Bundesliga unaotarajiwa kuanza Agosti 20.
England yatinga nusu fainali Euro 2020
England yaishinda Ukraine mabao 4-0 na kutinga nusu fainali Euro 2020
EURO 2020: Robo fainali Italia yaibwaga Ubelgiji 2-1
Nazo Ubelgiji na Italia zilicheza robo fainali ya pili kwenye uwanja wa mjini Munich kusini mwa Ujerumani.
Merkel asema ana wasiwasi na idadi ya mashabiki viwanjani
Kansela wa Ujerumani Angela Merkel amefanya mazungumzo wa Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson.
WHO yasema maambukizi ya corona yaongezeka tena Ulaya
Maambukizi hayo yanayotokana na virusi hatari vya aina ya Delta vinavyoenea kwa haraaka duniani kote.
Pandashuka za kocha Joachim Löw
Baada ya kuifunza timu ya taifa ya soka Ujerumani kwa miaka 17 kocha Joachim Löw anamaliza hatamu yake. Lakini kuondoka kwake sivyo alivyoingia. Licha ya mafanikio yake pia alikumbana na matokeo yasiyo ya kuridhisha. Tunaangazia jinsi hatamu yake ilivyokuwa kwenye Kurunzi Ujerumani.
England imeiondoa Ujerumani "Euro 2020"
England imeiondoa Ujerumani katika Euro 2020
Ufaransa yaondolewa katika mchuano wa Euro 2020
Ufaransa yaondolewa Euro 2020
Ujerumani yafuzu kwa 16 bora
Ujerumani imefuzu awamu ya 16 bora katika michuano ya Euro 2020 kwa kutoka sare ya 2-2 na Hungary.
England yaibwaga Czech, Croatia yaiondoa Scotlan
Raheem Sterling ndiye aliyeipatia England ushindi kwa goli pekee lilofungwa kwenye mechi hiyo dhidi ya Jamhuri ya Czech
Ujerumani na Hungary nani kuibuka mbabe?
Ujerumani na Hungary nani kuibuka mbabe?
Hatua ya makundi yakaribia mwisho
Kundi F lina mapambano makali ya kuamua atakayefuzu kati ya Ufaransa, Ujerumani, Ureno na Hungary
Mchezaji wa Slovakia aambukizwa Corona
Mlinzi wa Slovakia Denis Vavro na mmoja wa wanachama wa benchi la ukufunzi wa timu hiyo wameambukizwa Covid-19.
Eriksen kuwekewa kifaa cha kufuatilia mapigo ya moyo
Christian Eriksen atawekewa kifaa kitakachopandikizwa kufuatilia mapigo yake ya moyo.
Sommer aiacha Uswisi kwa ajili ya kuzaliwa kwa mtoto wake
Mlinda lango wa timu ya taifa ya Uswisi Yann Sommer, amesafiri kuelekea Ujerumani
16.06.2021 - Matangazo ya Asubuhi
Rais wa Marekani na mwenzake wa Urusi wanakutana leo kwa mazungumzo mjini Geneva.
Timu ya Ujerumani yashindwa kutamba mbele ya Ufaransa
Timu ya taifa ya Ujerumani imeangukia pua baada ya kukubali kichapo cha bao moja kwa nunge kutoka kwa Ufaransa.
Euro 2020: Nani mkali kati ya Ujerumani na Ufaransa?
Katika mechi nyengine za leo za Kundi F, Hungary itakuwa na miadi na mabingwa watetezi Ureno katika uwanja wa Puskas
DW Michezo 14.06.2021
Wakala wa mchezaji wa timu ya taifa ya Denmark Christian Eriksen asema mchezaji huyo yuko imara baada ya kuzirai uwanjani//Kesho Jumanne, kutakuwa na patashika kali mjini Munich wakati timu ya taifa ya Ufaransa itakapokabana koo na miamba Ujerumani //Nchini Tanzania, Uchaguzi wa shirikisho la soka unaendelea kutokota wakati wagombea sita wa Urais kati ya kumi wakirudisha fomu
Ruediger: Ufaransa wakali kwenye karatasi tu
Ujerumani ina miadi na Ufaransa siku ya Jumanne mjini Munich
Mechi ya Denmark na Finland EURO 2020 yaanza tena
Inaripotiwa Eriksen amepata fahamu hospitali
Euro 2020: Italia yaitandika Uturuki bao 3-0
Euro 2020: Italia yaitandika Uturuki mabao 3-0
De Bruyne na Witsel kuikosa mechi ya ufunguzi ya Euro
De Bruyne anatajwa kuwa mchezaji muhimu kwa timu hiyo ya taifa inayoorodeshwa nambari moja duniani
Mostovoy wa Urusi nje ya kikosi baada ya kuambukizwa Corona
Mostovoy wa Urusi nje ya kikosi baada ya kuambukizwa Corona
Bale: "Ukame wa mabao" haunishtui
Gareth Bale kamwe hashtushwi na ukame wa mabao ya kimataifa
Ureno yataka kurudia kampeni yake ya 2016
Ureno yataka kurudia kampeni yake ya 2016
Lijue kundi C la michuano ya Euro 2020
Uholanzi ina wachezaji wa haiba kubwa wakiwemo Memphis Depay, Matthijs de Ligt, Frenkie de Jong na Virgil van Dijk
Nani atatawazwa mfalme wa soka la Ulaya mwaka huu?
Katika kundi B, zipo timu za taifa za Ubelgiji, Urusi, Denmark na Finland.
Lijue kundi A la michuano ya Euro 2020.
Hatimaye michuano ya Euro 2020 inachezwa baada ya kuahirishwa kwa mwaka mmoja kutokana na janga la vuirusi vya corona.
Ujerumani yauza silaha za €1 bilioni Mashariki ya Kati
Ujerumani yaidhinisha mauzo ya silaha ya zaidi ya euro bilioni moja kwenye nchi zinazohusika na mizozo Yemen na Libya.
Zambia yashindwa kulipia deni lake
Gavana wa benki kuu ya Zambia amesema nchi haikuwa na fedha kuweza kulipa fedha hizo kama ilivyotakiwa kufikia Ijumaa.
Ari ya kibiashara imeimarika Ujerumani na Ufaransa
Nia ya kibiashara nchini Ujerumani na Ufaransa imeimarika kwa mwezi wa tano mfululizo mnamo mwezi huu wa Septemba.
Wafadhili waichangia Lebanon Euro mil. 250
Ufaransa imesema misaada hiyo itatolewa moja kwa moja kwa watu walioathirika kutokana na janga hilo.
Ulimwengu waichangia Lebanon zaidi ya Euro milioni 250
Misaada hiyo ya dharura itatolewa moja kwa moja kwa watu walioathirika kutokana na janga hilo.
Idadi ya mamilionea yaongezeka mara tatu duniani
Zaidi ya watu milioni 24 duniani wanamiliki utajiri wa dola milioni moja au zaidi,linaelezea shirika la BCG.
Ligi ya mabingwa wa Ulaya kukamilishwa Lisbon
Timu nane zitacheza kuanzia mechi za robo fainali katika michezo ya mtoano kwenye viwanja viwili.
Kusogezwa mbele kwa Euro ni nafuu kwa England
Southgate ana matumaini upande wake utafaidika
Macron, Merkel wakubaliana Euro bilioni 500 kunusuru uchumi
Viongozi hao wawili wamesema kuwa fedha hizo zitakazotolewa kupitia ufadhili wa mikopo kwa niaba ya Umoja wa Ulaya.
UEFA yaipiga kalenda Euro 2020
Mataifa wanachama 55 wa shirikisho hilo sasa wamekubali kuahirisha michuano hiyo
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 4 wa 10
Ukurasa unaofuatia