You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Marine Le Pen
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Macron atangaza baraza jipya la mawaziri
Baraza jipya la mawaziri Ufaransa linajumuisha mawaziri wa zamani na watumishi waandamazi wa serikali.
Kuondoka kwa wanajeshi wa Ufaransa kunawatia wasiwasi Wachad
Uamuzi huo unakuja baada ya kusitishwa kwa mikataba ya ushirikiano wa kijeshi uliyotangazwa na Chad mwezi novemba.
Ufaransa yasubiri uteuzi wa serikali mpya
Kinachosubiriwa ni serikali mpya itafanikiwa kutopigiwa kura ya imani bungeni na kupitisha bajeti ya mwaka ujao.
Macron asisitiza uwepo Djibouti Ufaransa ikitimuliwa Afrika
Macron amesema umwepo wa Ufaransa nchini Djibouti ni muhimu kwa usalama wa njia za biashara na Indo-Pasifiki na Ulaya.
EU kuanzisha mawasiliano na utawala mpya wa Syria
Miito inatolewa kwa Umoja wa Ulaya kuongeza uhusiano wa moja kwa moja na viongozi wapya wa Syria
Maelfu wahofiwa kufa kwa kimbunga Mayotte
Duru zinaeleza kwamba huenda maelfu wamepoteza maisha katika kadhia ya kimbunga hicho kilichopiga siku ya Jumamosi.
Urusi yampongeza Trump kwa kuikosoa Ukraine
Urusi imempongeza Donald Trump kwa kukosoa hatua ya Ukraine kushambulia ndani ya Urusi kutumia makombora ya Marekani.
Francois Bayrou ndiye waziri mkuu mpya Ufaransa
Macron aliapa kwamba yeye atasalia madarakani hadi pale muhula wake utakapomalizika mwaka 2027.
Rais Macron amteua Francois Bayrou kuwa Waziri Mkuu mpya
Rais Macron amemteua Francois Bayrou kuwa Waziri Mkuu mpya anayechukua mikoba ya Michel Barnier.
Rais Macron kumtangaza waziri mkuu mpya wa Ufaransa
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron, anatarajiwa kumtangaza waziri mkuu mpya siku ya acIjumaa.
Rais Macron aahidi kumtangaza Waziri Mkuu mpya
Wito watolewa kwa Macron kumteua Waziri Mkuu kutoka vyama vya siasa za mrengo wa kushoto.
Israel yaripotiwa kuishambulia Syria mara 300
Duru zina sema Israel imefanya mashambulizi zaidi ya 300 dhidi ya Syria tangu kuanguka kwa utawala wa Assad.
Viongozi wa dunia wakusanyika Paris kwa ajili ya Notre-Dame
Trump alitangaza kuhudhuria tukio hilo siku chache zilizopita kwenye mtandao wake wa kijamii wa Truth Social.
Waziri Mkuu wa Ufaransa awasilisha barua ya kujiuzulu
Michel Barnier tayari amewasili katika ikulu ya Elysée kuwasilisha barua ya kujiuzulu kwa Rais Emmanuel Macron.
Serikali ya Ufaransa yakabiliwa na kitisho cha kuangushwa
Serikali ya Ufaransa yakabiliwa na kitisho cha kuangushwa
Chad yasitisha mkataba wa ulinzi na Ufaransa
Wakati huohuo Rais wa Senegal pia ametangaza dhima yake ya kukomesha uwepo wa kikosi cha Ufaransa nchini humo.
Israel yasitisha vita Lebanon na kuendelea kuishambulia Gaza
Mataifa mbalimbali yanatumai kuwa makubaliano hayo yatawezesha kufikiwa kwa mpango wa kusitisha pia vita huko Gaza.
Viongozi wapongeza makubaliano ya usitishwaji vita Lebanon
Baada ya taarifa hiyo, kundi la Hamas limesema pia liko tayari kusitisha vita na Israel katika Ukanda wa Gaza.
Papa Francis kuzuru kisiwa cha Corsica Ufaransa
Macron alitarajia papa kuhudhuria sherehe hiyo kufunguliwa tena wa Kanisa, lakini papa aliweka wazi kwamba hatashiriki.
Bodi ya IAEA yailaani Iran kwa kushindwa kutoa ushirikiano
Bodi ya Shirika la (IAEA) imeilaani Iran kwa kushindwa kulipa ushirikiano shirika hilo la kudhibiti nishati ya nyuklia.
Niger yafuta leseni, shirika la Acted la Ufaransa
Niger imefuta leseni ya shirika la Acted la Ufaransa. Shirika hilo sasa halitaweza kufanya kazi nchini humo
Ufaransa kukusanya dola milioni 540 kuisaidia Lebanon
Kati ya watu 500,000 hadi milioni moja wamekimbia kusini mwa Lebanon tangu Israel ilipoanza kuishambulia Hezbollah.
Ufaransa yaahidi kuunga mkono mpango wa ushindi wa Ukraine
Ufaransa kutoa mafunzo kwa marubani wa Ukraine ili waweze kuendesha ndege za kijeshi wenyewe.
Ufaransa yaiunga mkono Ukraine mpango wa kukomesha vita
Ufaransa inasema inauunga mkono mpango wa Ukraine wa kuvimaliza vita vya miaka miwili na nusu kati yake na Urusi.
Mtuhumiwa wa mauaji ya kimbari ya Rwanda afutiwa mashitaka
Mbarushimana alikuwa akishutumiwa kushiriki katika mauaji ya kimbari dhidi ya Watutsi nchini Rwanda mnamo mwaka 1994.
Von der Leyen akosoa rekodi ya uhamiaji ya Hungary
Ursula von der Leyen amemkosoa vikali Viktor Orban wakati alipoonesha msimamo mkali kuhusu uhamiaji barani Ulaya.
Mtoto wa Osama Bin Laden atakiwa kuondoka nchini Ufaransa
Mtoto wa Osama Bin Laden atakiwa kuondoka nchini Ufaransa
Macron atoa wito kwa Rwanda, waasi wa M23 kuondoka DRC
Rais Emmanuel Macron atoa wito vikosi vya Rwanda na waasi wa M23 kuondoka mashariki mwa DR Congo,
Mshukiwa mkuu wa milipuko ya Cologne akamatwa Ufaransa
Mshukiwa muhimu kuhusiana na mfululizo wa milipuko katika mji wa magharibi wa Cologne amekamatwa mjini Paris, Ufaransa.
Macron kuwa mwenyeji wa mkutano wa kilele wa Francophonie
Macron wa Ufaransa atakuwa mwenyeji wa mkutano wa kilele wa siku mbili wa Jumuiya ya Nchi Zinazozungumza Kifaransa.
Ujerumani yazitaka Iran, Hizbullah kutoishambulia Israel
Scholz amezitolea wito Iran na Hizbullah kuacha kuishambulia Israel, akionya Iran inatishia vita vya ukanda mzima.
Hezbollah yathibitisha kifo cha kiongozi wake, Nasrallah
Kundi la wanamgambo la Hezbollah limethibitisha kuwa kiongozi wake Hassan Nasrallah ameuawa katika shambulizi la Israel
Wahamiaji 8 wamekufa maji wakijaribu kwenda Uingereza
Wahamiaji 8 wamekufa Ufaransa baada ya boti kuzama wakijaribu kuvuka kwa boti kutoka Ufaransa kwenda Uingereza
Rais Macron amteua Michel Barnier kuwa Waziri Mkuu mpya
Ufaransa ilikabiliwa na mkwamo wa kisiasa kwa miaezi kadhaa baada ya uchaguzi kushindwa kutoa mshindi wa moja kwa moja.
Muungano unaopigania uhuru wa New-Caledonia wateua kiongozi
Muungano unaopigania uhuru wa New-Caledonia wateua kiongozi
Ujerumani yahitimisha shughui za kijeshi Niger
Wanajeshi wa mwisho wa Ujerumani waliokuwa Niger, wameondoka nchini humo na kurejea nyumbani Ujerumani jana Ijumaa.
Ufaransa yaahidi kuimarisha uhusiano na Uingereza
Rais wa wa Ufaransa, Emmanuel Macron ameahidi kuimarisha uhusiano na Uingereza katika sekta ya ulinzi na usalama, pamoja
Olimpiki ya walemavu yaanza rasmi
Mji mkuu wa Ufaransa Paris ulikuwa mwenyeji hapo jana usiku wa sherehe za ufunguzi wa michezo ya Olimpiki ya wanariadha
Macron akwaa kisiki uundwaji wa serikali mpya ya Ufaransa
Zaidi ya wiki 7 tangu kumalizika kwa uchaguzi wa bunge usiyokuwa na mshindi wa wazi, Macron bado hajateua waziri mkuu.
Vita vya Gaza basi, zasema Ujerumani, Ufaransa na Uingereza
Scholz, Macron na Starmer wasema hakuna taifa litakalofaidika kutokana na kuongezeka mivutano katika Mashariki ya Kati.
Rais wa mpito wa Bangladesh kuapishwa Alhamis ya Agosti 8
Rais wa mpito wa Bangladesh Muhammad Yunus ataapisha siku ya Alhamisi kuiongoza nchi hiyo ya Asia kusini.
Mataifa ya ulaya yaitaka Venezuela kuweka wazi matokeo
Mataifa ya ulaya yaitaka Venezuela kuweka wazi matokeo
Macron:Uhuru ndani ya Morocco ni suluhu kwa Sahara Magharibi
Macron: Uhuru ndani ya Morocco njia pekee ya suluhu kwa Sahara Magharibi
Mrengo wa kushoto washinda uchaguzi wa bunge France
Muungano wa New Popular Front nchini France umeshinda viti vingi zaidi katika duru ya pili ya uchaguzi wa bunge Jumapili
Le Pen apinga kupeleka wanajeshi wa Ufaransa nchini Ukraine
Chama cha National Rally cha Marine Le Pen kutapinga kuwapeleka wanajeshi wa Ufaransa nchini Ukraine.
Ulaya yafuatilia duru ya pili ya uchaguzi Ufaransa
Wakati Rais Macron alipoitisha uchaguzi wa mapema Ufaransa alikuwa anahatarisha mustakabali wa Ulaya na nchi yake.
Vyama vya siasa Ufaransa kuungana kukizuia chama cha Le Pen?
Hatua hiyo ni baada ya chama hicho kupata mafanikio ya kihistoria kwa kushinda duru ya kwanza ya uchaguzi wa Bunge.
Chama cha Le Pen chashinda duru ya kwanza ya uchaguzi
Nafasi ya pili imechukuliwa na kundi la vyama vya mrengo wa kushoto. Duru ya pili ya uchaguzi huo itafanyika Julai 7.
Wafaransa wajitokeza kupiga kura kwenye uchaguzi wa Bunge
Rais Emmanuel Macron aliitisha uchaguzi wa mapema baada ya chama chake kupata pigo katika uchaguzi wa Bunge la Ulaya.
Macron ahimiza kuondolewa kwa vizuizi dhidi ya Caledonia
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ataka kuondolewa kwa vikwazo huko New Caledonia.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 1 wa 19
Ukurasa unaofuatia