Ujerumani ni nchi mwanachama wa Umoja wa Ulaya, ni nchi yenye uchumi imara, pia ni ya pili duniani kwa usafirishaji wa bidhaa nchi za nje. Halikadhalika ndipo lilipo shirika la habari la DW.