You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Allied Democratic Forces
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Makundi ya waasi Syria yakubali kuweka chini silaha
Makundi ya waasi Syria yakubali kuweka silaha chini na kuwa chini ya wizara ya Ulinzi
Netanyahu aahidi 'nguvu, dhamira' dhidi ya Wahuthi Yemen
Kombora la masafa marefu la Wahuthi siku ya Jumamosi lilipiga mji wa kibiashara wa Tel Aviv na kuwajeruhi watu 16.
Uganda: Waliokufa maporomoko ya udongo wafikia 40
Mamlaka zs Uganda zimesema vifo vya maporomoko makubwa ya udongo yaliyotokea kiasi wiki tatu zilizopita vimefikia 40
Watu 16 wajeruhiwa Tel Aviv kwa kombora lililotoka Yemen
Watu 16 wamejeruhiwa mjini Tel Aviv nchini Israel kufuatia shambulio la kombora lililorushwa mapema leo kutoka Yemen.
Kundi la waasi Myanmar ladai kukamata kamandi ya jeshi
Kundi la waasi wa kikabila nchini Myanmar limeyakamata makao makuu ya jeshi la nchi hiyo kwenye jimbo la Rakhine.
Ujumbe wa MONUSCO kusalia Kongo kwa mwaka mmoja
MONUSCO tayari imekamilisha mchakato wa kuondoka huko Kivu Kusini baada ya kufunga ofisi yake mwishoni mwa Juni.
Waasi wa M23 wauteka mji wa Alimbongo mashariki mwa Kongo
Wakati huohuo serikali ya Kongo yaitaka jamii ya kimataifa kuikemea Rwanda isitishe uungaji mkono wake kwa waasi wa M23.
Kiongozi wa Syria asema makundi ya waasi "yatavunjwa"
Kiongozi mpya wa Syria amesema makundi yote ya waasi nchini humo yatavunjwa na kuwekwa chini ya wizara ya ulinzi.
Ongezeko la maambukizi ya Kaswende
Jielimishe namna ya kujieupusha, kujikinga na madhara ya ugonjwa wa Kaswende.
Kaya 5,000 zahamishwa kutoka eneo la maporomoko Uganda
Maporomoko ya ardhi yaliyosababishwa na mvua kubwa mwishoni mwa mwezi Novemba yalisababisha vifo vya karibu watu 36.
Serikali ulimwenguni zawasiliana na watawala wapya wa Syria
Serikali mbali mbali za ulimwengu zimeongeza juhudi za kuanzisha mawasiliano na watawala wapya wa Syria.
EU kutuma mjumbe kuzungumza na viongozi wapya wa Syria
Mkuu wa sera za kigeni wa Umoja wa Ulaya Kaja Kallas amesema mjumbe wao kuzungumza na watawala wapya wa Syria.
Mazungumzo ya amani kati ya Kongo na Rwanda yashindikana
Waasi wa M23 wamelishikilia eneo kubwa la mashariki mwa Kongo na kufanya mashambulizi ya mara kwa mara.
Marekani yakiri kuwasiliana moja kwa moja na Syria
Kundi hilo la waasi la HTS lilichukua madaraka baada ya kumuangusha Rais Bashar al-Assad siku chache zilizopita.
14.12.2024: Matangazo ya asubuhi ya DW Kiswahili
Sikiliza matangazo ya asubuhi ya DW Kiswahili
14.12.2024: Taarifa ya habari za asubuhi
Sikiliza taarifa ya habari za asubuhi ya DW Kiswahili
China, Misri zaelezea wasiwasi mkubwa kuhusu hali ya Syria
China na Misri zimedhihirisha wasiwasi wao mkubwa kuhusu hali inayoendelea nchini Syria.
Marais Tshisekedi, Kagame kufanya mazungumzo ya amani Angola
Rais Felix Tshisekedi na mwenzake wa Rwanda Paul Kagame wanatarajiwa kukutana Jumapili nchini Angola kwa mazungumzo.
Blinken amwambia Erdogan "raia wa Syria wanahitaji kulindwa"
Blinken amemwambia Erdogan kwamba raia wa Syria wapaswa kulindwa baada ya waasi kuipindua serikali ya Bashar al-Assad.
kwa 'ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu'
Mashirika yasio ya kiserikali yaushutumu mradi wa mafuta wa Uganda kwa 'ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu'.
13.12.2024 : Matangazo ya asubuhi
Sikiliza matangazo ya asubuhi ya DW Kiswahili
13.12.2024: Taarifa ya habari za asubuhi
Sikiliza taarifa ya habari za asubuhi ya DW Kiswahili
Blinken asema raia wa Syria wanahitaji kulindwa
Mataifa mbali mbali yatangaza kufungua tena balozi zao mjini Damascus.
Tshisekedi: Rwanda imepeleka raia wake maeneo ya M23
Rais wa Kongo, Félix Tshisekedi, amesema Rwanda imepeleka raia wake kwenye maeneo yaliyotekwa na waasi wa M23.
12.12.2024: Taarifa ya habari za asubuhi
Sikiliza taarifa ya habari za Ulimwengu kutoka idhaa ya Kiswhaili ya DW
Marufuku ya kutotoka nje yaondolewa mjini Damascus, Syria
Qatar imesema itafungua tena ubalozi wake nchini Syria baada ya zaidi ya miaka 13.
Besigye kubakia korokoroni hadi mwaka ujao
Mwanasiasa maarufu nchini Uganda Daktari Kizza Besigye, atabaki gerezani hadi mwaka ujao.
Assad akimbia nchi, waasi waukamata Damascus
Raia wa Syria wameendelea kumiminika kwenye maeneo mbalimbali ikiwa ni pamoja na mji mkuu Damascus kuashiria mapambazuko yaliyosubiriwa kwa muda mrefu baada ya kuanguka kwa utawala wa Rais Bashar al-Assad. Tizama video hii kwa mengi zaidi. #Kurunzi
Waasi wa Syria waingia Damascus, wasema Assad amekimbia
Waasi nchini Syria wamedai kuwa rais wa Syria Bashar al-Assad amekimbia nchi.
Waasi Syria waitwaa Daraa
Serikali ya Syria imepoteza udhibiti wa jimbo na mji muhimu wa kusini, Daraa.
Waasi wa Syria waendelea kusonga mbele
Mkuu wa kundi hilo amesema lengo lao ni kuuteka mji mkuu Damascus na kuuangusha utawala wa rais Bashir al-Assad.
Waasi wa Syria waingia mji wa Hama
Waasi wa Syria wameingia kwenye mji wa Hama na kuwalazimisha wanajeshi wa serikali kuondoka na kujipanga nje ya mji huo.
Ufadhili juu ya mabadiliko ya tabianchi Afrika ni mdogo
Mataifa ya Afrika huathirika pakubwa na mabadiliko ya tabianchi kutokana na shughuli za mataifa tajiri na yenye viwanda.
Vikosi ya serikali vyakabiliana na waasi Syria
Mji wa Hama ni muhimu kimkakati kwa jeshi la Syria na unatumika kama eneo salama la kuulinda mji mkuu, Damascus.
Vifo vya maporomoko ya udongo Uganda vyafikia watu 28
Vifo vya maporomoko ya udongo Uganda vyafikia 28
Urusi yaunga mkono hatua za Syria dhidi ya waasi
Urusi yasema inaunga mkono hatua zinazochukuliwa na Syria dhidi ya waasi
Syria yajipanga kulipiza mashambilio ya waasi mkoani Hama
Volker Türk ameelezea wasiwasi wake kuhusu kuongezeka kwa vita Kaskazini magharibi mwa Syria.
Vikosi vya Syria vyaendelea kukabiliana na waasi Aleppo
Jeshi la Syria na vikosi vya Urusi wameshambulia maeneo yanayodhibitiwa na waasi mashariki mwa mji wa Aleppo
Ruto na Museveni kupatanisha Ethiopia na Somalia
Marais William Ruto na Yoweri Museveni watwaa jukumu la kuzipatanisha Ethiopia na Somalia
Urusi yazidisha mashambulizi dhidi ya waasi wa Syria
Urusi yazidisha mashambulizi dhidi ya waasi wa Syria baada ya kusonga mbele
Viongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki waijadili DRC
Viongozi wa kanda ya Jumuiya ya Afrika Mashariki waijadili DRC
Watu 16 wauawa katika shambulizi la anga mjini Aleppo
Ripoti zilisema mapema kwamba waasi nchini Syria sasa wanadhibiti sehemu kubwa ya mji wa Aleppo.
Kenya na Uganda kusuluhisha mzozo wa Ethiopia na Somalia
Ethiopia na Mogadishu zinavutana kufuatia mipango ya Ethiopia ya kujenga bandari kwenye jimbo la Somaliland.
Jeshi la Syria lazidiwa, laikimbia Aleppo
Jeshi la Syria lilisema Jumamosi kuwa dazeni kadhaa ya wanajeshi wake waliuwawa kufuatia shambulizi lililofanywa kaskazi
Waasi nchini Syria wadhibiti eneo kubwa la Aleppo
Waasi hao wameendelea kushambulia vikosi vya serikali vinavyosaidiwa na Iran na Urusi tangu siku ya Jumatano.
Jeshi lafunga uwanja wa ndege, barabara mjini Aleppo
Wapiganaji wa upinzani walifanya operesheni ya kushtukiza na kuwaacha wanajeshi wa serikali wakiwa wameduwaa!
Vifo vya maporomoko ya udongo Uganda vyafikia 20
Mvua kubwa ilisababisha maporomoko hayo yaliyofunika vijiji sita katika wilaya ya Bulambuli.
Waasi wa Syria waingia mji wa Aleppo
Mapigano hayo ni mmoja ya makali zaidi katika miaka kadhaa, huku watu 255 wakiripotiwa kuuawa.
Benki ya Uganda yasubiri ripoti kuhusu wizi wa dola mil. 17
Wadukuzi, waliojitambulisha kama ''waste'' wanaripotiwa kudukuwa mifumo ya teknolojia ya habari ya Benki ya Uganda.
Mamia bado wanatafutwa kufuatia maporomoko ya udongo Uganda
Familia nyingi zingali katika mashaka ya kuwapata jamaa zao wakiwa hai baada ya vijiji vitano kufunikwa na tope.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 1 wa 56
Ukurasa unaofuatia